Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda yagundua tani milioni 31 za dhahabu

DHAHABU Uganda yagundua tani milioni 31 za dhahabu

Wed, 6 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza kuzalisha bidhaa za dhahabu

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini nchini humo, Solomon Muyita amesema Uganda imegundua tani milioni 31 za dhahabu zinazosubiri kuchimbwa nchini humo baada ya tafiti kadhaa kufanywa na wanalenga kuvutia wachimbaji dhahabu na wawekezaji katika sekta ya crypto

Hivi karibuni kampuni hiyo Kichina imepata leseni ya kuzalisha dhahabu na ina mkataba wa miaka 21 wa kuchimba dhahabu nchini humo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live