Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda yafunga barabara ya mwendo kasi kwa muda kwa kuhofia bomu

Uganda Yafunga Barabara Ya Mwendo Kasi Kwa Muda Kwa Kuhofia Bomu Uganda yafunga barabara ya mwendo kasi kwa muda kwa kuhofia bomu

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: Bbc

Polisi nchini Uganda walifunga kwa muda mfupi barabara ya mwendokasi yenye shughuli nyingi zinazounganisha mji mkuu, Kampala, na uwanja wa ndege wa nchi hiyo baada ya hofu ya usalama, siku ya Jumatano.

Kikosi cha mabomu kilitumwa kufanya uchunguzi pembezoni mwa barabara kuu ya Entebbe kabla ya kuondolewa kwa kusimamishwa kwa matumizi ya umma, kulingana na ujumbe wa tweeter wa polisi.

Wenye magari walielekezwa kwenye barabara ya zamani inayopita karibu na barabara ya mwendokasi hadi uchunguzi ukamilike na utaratibu wa kawaida wa trafiki urejeshwe.

Barabara ya mwendokasi inayofadhiliwa na China ilifunguliwa mwaka 2018 na ni barabara ya kwanza kabisa ya utozaji ushuru nchini.

Chanzo: Bbc