Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda walivyorudisha safari za anga Tanzania"mashirika 12 tunajikinga"

WhatsApp Image 2020 10 03 At 12.41.57 660x400.jpeg Uganda walivyorudisha safari za anga Tanzania"mashirika 12 tunajikinga"

Sat, 3 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Shirika la Ndege la Uganda limerudisha rasmi safari zake za Ndege kuja Tanzania ikiwa ni takribani miezi 7 tangu zilipositishwa kutokana na mlipuko wa Corona.

Shirika la Ndege la Uganda limerudisha rasmi safari zake za Ndege kuja Tanzania ikiwa ni takribani miezi 7 tangu zilipositishwa kutokana na mlipuko wa Corona. Kaimu Meneja wa Jengo la Abiria la Uwanja wa Ndege Terminal 3, Barton Komba amesema uwepo wa Shirika la Ndege la Uganda unaongeza idadi ya Mashirika ya Ndege yanayokuja Tanzania kufika 12.

Chanzo: millardayo.com