Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda kuharibu dozi zaidi ya 400,000 zilizoisha muda

Bei Ya Dozi Ya Chanjo Ya ‘Numonia Yapungua Kwa Asilimia 43 Uganda kuharibu dozi zaidi ya 400,000 zilizoisha muda

Fri, 14 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo

Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema chanjo zilizopelekwa mikoa ya kaskazini hazikutumika. Dozi zilizoisha muda ni modern ana AstraZeneca

Waziri Aceng ametoa wito kwa raia kupata chanjo. Hadi sasa dozi 12,220,106 ndio zilizotolewa kwa watu. Uganda imerekodi vifo 3,378 tangu mwanzo wa janga la corona

Chanzo: www.tanzaniaweb.live