Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda kuanza kutoa chanjo ya Homa ya Ini kwa wenye miaka mitano

CHANJO HPV.png Saratani

Mon, 20 Sep 2021 Chanzo: Mwananchi

Serikali nchini Uganda imepanga kuanza kutoa chanjo ya Homa ya Ini kwa watoto wa kike kuanzia umri wa miaka mi tano ambapo hapo awali chanjo hiyo ilianza kutolewa kuanzia umri wa miaka tisa.

Chanjo hiyo aina ya Human Pappilow amabayo inasaidia kinga ya kutopata maambukizi ya saratani ya shingo ya uzazi itanza kutolewa kwa watoto wenye umri wa miaka mitano kufuatia ongezeko la ungonjwa huo.

Awali wizara ya Afya ilitoa chanjo hizo kwa watoto wakike wenye umri wa miaka tisa huku wakitakiwa kupata dozi ya chanjo mara mbili baada ya miezi sita ilikujikinha na saratini ya shingo ya uzazi. Lakini takwimu nchini humo zimeonesha kuwa watoto huchoma chanjo hiyo mara moja.

Kufuatia takwimu za UNEPI zinaonesha walichoma dozi ya kwanza ni asilimia 90% huku dozi ya pili ni chini ya asilimia 50%.

Emmanuel Bukalu , mratibu wa Elimu ya Afya amesema kushusha umri wa watoto kupata chanjo hito itaongeza onezeka la kuchoma ddozi ya pili.

Wazazi wanashauriwa kuzingatia watoto kumaliza dozi ya chanjo hiyo ili kuwakinga kupata saratani ya shingo ya uzazi amabayo huweza kuambukizwa kwa njia ya kujamiana.

takribani wananawake 4300 hupoteza maisha kwa ugonjwa wa Saratani ya shingo ya uzazi.

Chanzo: Mwananchi