Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda: Simu zapigwa marufuku Magerezani wakati wa Kombe la Dunia

Kombe Stop Gereza.png Uganda: Simu zapigwa marufuku Magerezani wakati wa Kombe la Dunia

Tue, 22 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka.

Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na kupunguza kiwango cha tahadhari".

Uganda imewahi kuripoti matukio mawili ya Wafungwa zaidi ya 700 kutoroka Gerezani Mwaka 2006 na 2020. Kwa mujibu wa takwimu, Nchi hiyo ina zaidi ya Wafungwa 6,000 Magerezani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live