Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#UchaguziKenya: Raila Odinga aongoza kwa kura

Odinga Mkll Raila Odinga aongoza kwa kura

Wed, 10 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, matokeo ya awali mpaka saa 9:30 mchana yanaonesha Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga, anaongoza kwa kura 2,082,109 sawa na 50.55% huku Mgombea wa UDA, Naibu Rais William Ruto akiwa na kura 1,979,549 sawa na 48.06%

Chanzo: www.tanzaniaweb.live