Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uchaguzi Kenya: IBEC yapinga madai shahada ya Seneta Nairobi

Seneta Nairobi Madai IBEC yapinga madai shahada ya Seneta Nairobi

Mon, 20 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati Maalum ya Tume Huru ya Uchaguzi na Ukaguzi wa Mipaka nchini Kenya IEBC imetupilia mbali malalamishi ya kupinga cheti cha shahada ya Senata wa Nairobi Johnson Sakaja.

Hatua hiyo sasa inamruhusu Bw. kuendelea mmbele na adhima yake ya kuwania ugavana wa Nairobi.

Kilingana na taarifa za vyombo vya habari vya Kenya Kamati hiyo ilihoji kuwa IEBC haina mitambo ya kuchunguza uhalali wa stakabadhi hizo.

"Ingawa kuna wasiwasi mkubwa kuhusu uhalali wa hati zake lakini Sakaja hajashtakiwa katika mahakama ya sheria kuhusu madai ya kuhusika katika kosa la kuwa na hati ghushi," ilisema, na kuongeza kuwa madai yaliyotolewa na IEBC dhidi ya Sakaja inaweza kushughulikiwa tu na Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live