Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uchaguzi DRC: Wenye kadi za kupigia kura zilizofutika wataruhusiwa kupiga kura

Uchaguzi DRC: Wenye Kadi Za Kupigia Kura Zilizofutika Wataruhusiwa Kupiga Kura Uchaguzi DRC: Wenye kadi za kupigia kura zilizofutika wataruhusiwa kupiga kura

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: Bbc

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchinii DRC Denis Kadima amesema kuwa wapiga kura wote waliosajiliwa rasmi wataruhusiwa kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika wiki ijayo hata ikiwa kadi za kupigia kura zimeharabika.

Kumękuwa na wasi wasi kuwa idadi kubwa ya wapiga kura huenda wasishiriki uchaguzi baada ya maelezo kwenye kadi zao kufutika.

Tume ya uchaguzi imekuwa ikiendesha shughuli ya kuwapa wapiga kura wałiosajiliwa kadi mpya ikiwa kadi żao zimeharika łakini zoezi lenyewe limekuwa likienda pole pole kutokana na idadi kubwa ya watu waliojitokeza ili kupata kadi mpya.

Kadima ameongeza kuwa hadi sasa hawajafanikiwa kupata ndege za kutosha kusafirisha vifaa vitakavyotumika wakati wa uchaguzii hadi maeneo yote.

Siku mbili zilizopita CENI iliiandikia serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa kuipa misaada ya ndege ili kufanikisha shughuli ya kusafirisha vifaa vya kupigia kura.

Licha ya hayo amesema kuwa CENI Inafanya kila Liwezalo ili uchaguzi mkuu uendelee kama ilivyopangwa.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchinii DRC Denis kadima amesema kuwa wapiga kura wote waliosajiliwa rasmi wataruhusiwa kushiriki Karola uchaguzi mkuu utakaofanyika Wiki ijayo hata ikiwa kadi ZSP za kupigia kura zimerabika.

Kumę kuwa na wasi wasi kuwa Idadi kubwa ya wapiga kura huenda wasishiriki baada ya Maelezo kwenye kadi zao kufutika. Tume ya uchaguzi imekuwa ikiendesha shughuli ya kuwapa wapiga kura wałiosajiliwa kadi mpya ikiwa kadi żao zimeharika łakini zoezi lenyewe limekuwa likienda pole pole kutokana na Idadi kubwa ya watu waliojitokeza ili kupata kadi mpya.

Kadima ameongeza kuwa hadi sasa hawajafanikiwa kupata Ndege za kutosha kusafirisha vifaa vitakavyotumika wakati wa uchaguzii hadi Maeneo yote. Siku mbili zilizopita CENI iliandikia serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa kuipa misaada ya ndege ili kufanikisha shughuli ya kusafirisha vifaa vya kupigia kura.

Licha ya hayo amesema kuwa CENI Inafanya kila liwezalo ili uchaguzi mkuu uendelee kama ilivyopangwa.

Chanzo: Bbc