Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uchaguzi DRC: Matokeo ya awali yanatarajiwa kuchapishwa leo

Uchaguzi DRC: Shughuli Ya Kuhesabu Kura Inaendelea Katika Baadhi Ya Vituo Uchaguzi DRC: Matokeo ya awali yanatarajiwa kuchapishwa leo

Fri, 22 Dec 2023 Chanzo: Bbc

Mamlaka ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema matokeo ya awali ya uchaguzi yatachapishwa leo Ijumaa, baada ya upigaji kura uliokumbwa na mtafaruku uliosababishwa na matatizo ya vifaa.

Muda wa upigaji kura uliongezwa katika baadhi ya maeneo ya nchi kwa siku ya pili, baada shughuli hiyo kucheleweshwa siku ya Jumatano.

Wagombea kadhaa wa urais wa upinzani wameitisha uchaguzi mpya, wakilalamikia usimamizi mbaya, vifaa mbovu na udanganyifu.

Rais Felix Tshisekedi anawania muhula wa pili madarakani.

Chanzo: Bbc