Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ubunge ulivyo dili DRC...

Risasi Iliyopotea Njia Imempiga Raia Wa Rwanda Karibu Na Mpaka Wa DRC Ubunge ulivyo dili DRC...

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Demokrasia ya Congo (DRC) umechangiwa kutokana na kiasi cha mshahara wanaolipwa kwa mwezi ambao ni zaidi ya Sh52.5 milioni za Kitanzania.

Wagombea 47,000 wamejitokeza kuwania nafasi 500 za ubunge unaotarajiwa kufanyika Desemba 20, 2023 ambapo kila mbunge analipwa dola 21,000 kwa mwezi.

Maandalizi ya uchaguzi DRC unazidi kushika kasi huku Tume ya Uchaguzi (CENI) ikithitibisha kupokea vifaa kwa ajili ya uchaguzi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live