Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UZINDUZI WA BOMBA LA MAFUTA UGANDA WAAHIIRISHWA

An Oil Pipeline Is Laid Next To The Vopak Dialog UZINDUZI WA BOMBA LA MAFUTA UGANDA WAAHIIRISHWA

Wed, 24 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Uzinduzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ili kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya MUungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwa mchango mkubwa alioutoa katika mradi huo.

Serikali ya Uganda kupitia mamlaka ya Petroli nchini humo (PAU) imetoa taarifa ikisema uzinduzi huo umeahirishwa hadi mwezi ujao.

PAU imesema Uongozi mahiri wa Rais Magufuli uliweka msingi thabiti kwa mradi huo, ikiwemo makubaliano kati ya Serikali za Nchi hizo mwaka 2017 na makubaliano ya Serikali ya Tanzania mwaka jana.

Chanzo: zanzibar24.co.tz