Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

URA laachia gari la kuzuia risasi la Bobi Wine

Bobi Ed URA laachia gari la kuzuia risasi la Bobi Wine

Thu, 10 Jun 2021 Chanzo: ippmedia.com

Gari hilo ambalo Bobi Wine amesema limetolewa kama msaada wa wafuasi wake lilichukuliwa na mamlaka hiyo kwa madai kuwa lilikuwa limekatiwa kodi kama gari ya kawaida ya Toyota Land Cruiser.

Gari hilo ambalo Bobi Wine amesema limetolewa kama msaada wa wafuasi wake lilichukuliwa na mamlaka hiyo kwa madai kuwa lilikuwa limekatiwa kodi kama gari ya kawaida ya Toyota Land Cruiser. Baada ya uhakiki na kubainika kuwa lilikuwa la kujihami na risasi kodi iliongezwa na kufikia zaidi ya mara mbili ya kodi ya awali.

Chanzo: ippmedia.com