Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UGANDA: Bobi Wine aanza kunyanyuka

6c6fdf7622ee0609dcfa9f0ab8682f23 UGANDA: Bobi Wine aanza kunyanyuka

Sun, 17 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Uganda, Simon Byabakama amesema katika matokeo ya awali ya Uchaguzi Mkuu idadi ya kura za mgombea wa Upinzani Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ zimefikia 34.62% huku Yoweri Museveni akiendelea kuongoza kwa 58.83%

Matokeo hayo yanaonyesha ‘Bobi Wine amepanda kwa asilima kadhaa tofauti na 27.9% ya matokeo ya jana.

Taarifa zinasema kuwa japo Museveni bado anaongoza kwa wingi wa kura, idadi kwa asilimia imepungua kutoka 61.98% iliyotangazwa na tume hiyo, matokeo ya awali kutoka vituo vya kupigia kura 30,098 kati ya 34,684 yameshatangazwa hadi sasa.

Chanzo: habarileo.co.tz