Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yashuhudia wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya COVID-19

39ab4be167ea9b67b9fdc7ec3f64dace.jpeg Tanzania yashuhudia wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya COVID-19

Tue, 29 Jun 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Huku visa vya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa corona yakizidi kuripotiwa kote ulimweguni, Rais wa Jamhuri ya Tanzania amethibitisha kwamba nchi hiyo inashuhudia wimbi la tatu la mlipuko wa ugonjwa huo.

Huku visa vya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa corona yakizidi kuripotiwa kote ulimweguni, Rais wa Jamhuri ya Tanzania amethibitisha kwamba nchi hiyo inashuhudia wimbi la tatu la mlipuko wa ugonjwa huo. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatatu, Juni 28, Rais Suluhu alisema kwamba takriban wagonjwa 70 wamewekwa kwenye oksijeni.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke