Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takribani magaidi 60 wauwa Burkina Faso

Burkinabe Data Takribani magaidi 60 wauwa Burkina Faso

Mon, 31 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanajeshi wa Burkina Faso wakisaidiana na Vikosi vya Ufaransa wamewaua takriban magaidi 60 kati ya Januari 16, 2022 hadi Januari 23, 2022 katika operesheni ya kupambana na Wanamgambo

Burkina Faso imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya wanamgambo wenye msimamo mkali wenye uhusiano na Al-Qaida na Islamic State toka mwaka 2015

Zaidi ya watu 2,000 wameuawa na watu milioni 1.5 walikoseshwa makazi tokea Novemba 30, 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.live