Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tajiri no. 1, aligawa dhahabu kama pipi, walinzi elfu sitini, tembo 100, ngami 80 (+video)

Emperor Mansa Musa 3 620x400 Tajiri no. 1, aligawa dhahabu kama pipi, walinzi elfu sitini, tembo 100, ngami 80 (+video)

Fri, 25 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Matajiri wa dunia wakitajwa utasikia majina kama Bill Gates, Rockefeller au Buffet lakini alikuwepo Mansa Musa Mfalme wa Mali, karne ya 14.

Matajiri wa dunia wakitajwa utasikia majina kama Bill Gates, Rockefeller au Buffet lakini alikuwepo Mansa Musa Mfalme wa Mali, karne ya 14. Mansa Musa anatajwa kuwa tajiri mkubwa kuwahi kutokea, leo angekuwepo thamani ya utajiri wake ingekuwa sawa na USD Bilioni 400, mfahamu Mansa Mussa kwa ufupi kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

Chanzo: millardayo.com