Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa la Seychelles lina watu laki moja tu

Seychelles  24 09 24 At 13.jpeg Taifa la Seychelles lina watu laki moja tu

Tue, 24 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taifa la Seychelles ndilo lenye watu wachache zaidi Afrika likiwa na watu 119,878, hii ni kwa mujibu wa takwimu za tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ya taifa hilo, kulingana na matokeo ya sense ya Juni 30, 2022.

Sehemu kubwa ya Seychelles imezungukwa na maji, hali inayofanya kuwa na sehemu kubwa ya vivutio vya utalii.

Sao Tome And Principe wanafuata wakiwa na watu 231,117, Western Sahara 584,302, Cape Verde 597,204, Comoros 848,379, mtandao wa Business Insider Africa unaripoti kwa ujumla wa takwimu zote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live