Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taharuki yaibuka!! Ferrari ya Ginimbi yataka kuwaka moto wakati wakuaga Mwili wake

88888 660x400 Taharuki yaibuka!! Ferrari ya Ginimbi yataka kuwaka moto wakati wakuaga Mwili wake

Sat, 14 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Ni Novemba 13, 2020 ambapo wananchi waishio nchini Zimbabwe mjini Harare waliweza kuuwaga mwili wa mpendwa wao, sasa taharuki iliyotoka huko leo ni baada ya gari lake lingine aina ya Ferrari lililokuwa likiendeshwa na rafiki yake kutaka kuwaka moto barabarani.

Gari hilo lilikuwa kwenye msafara wa kuelekea mahali ambapo palikuwa pakifanyika shughuli za kuuwaga mwili wa Ginimbi huko Harare nchini Zimbabwe

Itazame hii video hapa ujionee kila kitu kuanzia watu walivyoaga mpaka gari hilo kutoka kuwaka moto

KWA UCHUNGU MWIGIZAJI JB KAMZUNGUMZIA MAREHEMU MC ZIPOMPA POMPA KWENYE MAZISHI YAKE LEO

Chanzo: millardayo.com