Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Rais wa zamani Angola afariki dunia

Rais Angola Kifo José Eduardo dos Santos

Fri, 8 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

José Eduardo dos Santos aliyeongoza Angola kwa takriban miaka 40, kuanzia mwaka 1979 - 2017 amefariki dunia akiwa na miaka 79

Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na Serikali ya Angola, ikielezwa amefariki akiwa Hospitalini Barcelona Nchini Uhispania kutokana na maradhi ambayo hayajawekwa wazi

Kiongozi wa Taifa hilo, Joao Lourenco ametangaza siku tano za maombolezo kuanzia leo Julai 8, 2022 na Bendera ya Nchi itapepea nusu mlingoti

Chanzo: www.tanzaniaweb.live