Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sita wauawa kwenye mlipuko uliotokea mgahawani

Mlipuko Uganda Sita wauawa kwenye mlipuko uliotokea mgahawani

Sat, 23 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022

“Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa.

Aidha, mteja aliyekuwa eneo la tukio alisema kulisikika milio ya risasi kadhaa lakini hajui hasa nini kilikuwa nyuma ya pazia

Polisi hawajasema ukubwa wa madhara kwa jumla ya mlipuko huo lakini wanaamini bomu lilitupwa ndani ya mgahawa na hakuna mbunge ambaye alipoteza maisha katika tukio hilo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live