Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siku za nne za machungu Morroco, mtoto aliyetumbukia shimoni

Shimo Morroco Siku za nne za machungu Morroco, mtoto aliyetumbukia shimoni

Sat, 5 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juhudi za kumuokoa mvulana mwenye umri wa miaka 5 aliyetumbukia kwenye kisima nchini Morocco zimeingia siku ya nne leo huku wasiwasi ukiongezeka juu ya iwapo atafanikiwa kutolewa akiwa yungali hai.

Waokoaji wanaofanya kazi hiyo kwa ustadi na umakini mkubwa wamesema zimesalia mita mbili pekee kulifikia eneo aliko mtoto huyo lakini kazi yao inatatizwa na udhaifu wa udongo kwenye eneo hilo.

Wataalamu wanaofanya kazi hiyo wanatumia kamba kupeleka mpira wa hewa ya Oksijeni, maji pamoja na Kamera ya kufutuatilia hali ya mvulana huyo lakini tangu leo asubuhi wamesema hawafahamu hali yake ya kiafya.

Mvulana huyo aliyetambuliwa kwa jina la Rayan alitumbukia kwenye kisima hicho cha urefu wa futi 105 siku ya Jumanne na tangu wakati huo juhudi za kumuokoa zinaendelea. Kisa hicho katika kijiji cha Ighran kaskazini mwa Morocco kimevutia hisia za watu wengi duniani ambao wanafutatilia kwa karibu juhudi za kumuokoa.

Uamuzi huo ulijibiwa vikali na ECOWAS iliyotangaza vikwazo dhidi ya Mali ikiwemo kufunga mipaka ya nchi zake na taifa hilo lenye mzozo.

Hatma ya kurejea utawala wa kiraia nchini Guinea nayo bado inajikokota. ECOWAS hapo jana ilitangaza vikwazo ziada kwa mataifa hayo mawili ikiwemo dhidi ya viongozi wa kijeshi na familia zao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live