Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sierra Leone yapitisha Mswada kuwa na Theluthi Moja ya Wabunge Wanawake

Bunge Sieraaa Sierra Leone yapitisha Mswada kuwa na Theluthi Moja ya Wabunge Wanawake

Wed, 16 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bunge nchini Sierra Leone kwa kauli moja limeidhinisha Mswada utakaohakikisha kwamba Mmoja kati ya Wabunge Watatu, na theluthi moja ya Madiwani wote ni Wanawake

Hivi sasa ni Wabunge 19 tu kati ya 146 ambao ni Wanawake Nchini humo

Mswada huo sasa utaenda kwa Rais Julius Bio ili kutiwa saini kuwa Sheria, ambapo licha ya kuwa ilikuwa ahadi kuu katika kampeni zake za uchaguzi wa 2018, imechukua Miaka 3 kwa Baraza la Mawaziri kuidhinisha rasimu hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live