Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shule yalazimika kufungwa baada ya mwalimu kulawiti anafunzi wa kiume 3

Shule Kufungwa Ulawiti.png Shule yalazimika kufungwa baada ya mwalimu kulawiti anafunzi wa kiume 3

Wed, 27 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shule ya Mosoriot katika Kaunti ya Bomet imefungwa kwa muda usiojulikana, baada ya kubainika kuwa Mwalimu wa Shule hiyo, Bernard Kirui aliwaingilia kinyume na maumbile watoto 3 wa kiume wenye umri wa miaka 11-13

Taarifa zinasema malalamiko kutoka kwa Wafanyakazi wa shule hiyo yalifanya Uongozi ambapo uchunguzi ulibainisha kuwa mwalimu alikuwa akilala katika bweni la Wavulana licha ya kuwa na chumba alichotengewa na shule hiyo

Aidha, Watoto hao wanapatiwa matibabu na ushauri nasaha huku mtuhumiwa akishikiliwa na Polisi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live