Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yapiga 'stop' magari ya dizeli

Dizeli Stop Serikali yapiga 'stop' magari ya dizeli

Mon, 21 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira.

Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari Milioni 6.5 yaliyosajiliwa nchini humo.

Mwaka 2019 za Benki ya Dunia ilitoa takwimu zilizoonesha uzalishaji wa hewa chafu (carbon dioxide) kwa mji mmoja ni wastani wa tani 3.98 za metriki, wakati Afrika Kusini ni tani 7.51 za Metriki, Marekani uzalishaji wa hewa chafu ni tani 14.67 za metriki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live