Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali ya Uganda yagoma kuongeza mishahara ya walimu wa sanaa

Museven Ed.jpeg Serikali ya Uganda yagoma kuongeza mishahara ya walimu wa sanaa

Thu, 14 Oct 2021 Chanzo: ippmedia.com

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi na Tehama tu kwa madai ya kuwa wao ndio wanaochangia maendeleo ya jamii.

Rais Museveni amesema wangeweza kupandisha mishahara kwa walimu wote lakini uhaba wa fedha umelazimisha kuwapa kipaumbele walimu wanaohitajika zaidi.

Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda sawa kwa walimu wote.

Chanzo: ippmedia.com