Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali kuiwekea vikwazo BBC kwa kuonesha filamu magenge ya uhalifu

BBC SOMALILAND Serikali kuiwekea vikwazo BBC kwa kuonesha filamu magenge ya uhalifu

Fri, 29 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Nigeria imetishia kuweka vikwazo kwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na Trust TV kwa kile walichodai kutukuza ugaidi kutokana na kuonesha filamu kuhusu wababe wa kivita wa magenge ya uhalifu Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.

BBC Africa ilifanya mahojiano na wahalifu wa kivita wa Zamfara pamoja na waathiriwa ili kuchunguza machafuko.

Waziri wa Habari wa Nigeri, Mohammed Lai amewambia waandishi wa habari kwamba tume ya kitaifa ya utangazaji inachunguza iwapo vyombo hivyo viwili vya habari vilikiuka kanuni za utangazaji na kudai kuwa wasingeweza kufanya filamu kama hiyo kwa Uingereza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live