Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samuel Eto'o atangaza kugombea Urais

Wwewewee Samuel Eto'o atangaza kugombea Urais

Wed, 22 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za mchezaji wa zamani wa timu ya Cameroon, Samuel Eto’o ambae time hii ametangaza kuwa atagombea urais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini kwao (FECAFOOT).

Mchezaji huyo wa zamani  kupitia ukurasa wake wa Facebook alieleza sababu za kugombea nafasi hiyo na kusema….“Nimeamua kuchukua uamuzi huu kwasababu ya kuipenda Cameroon na kupenda soka letu, Ni wakati wa kujenga upya mpira wetu”, alielezea Samuel Eto’o katika taarifa yake katika Mtandao wa Facebook

Na ikumbukwe ni siku chache tangu kutangazwa kwa tarehe ya uchaguzi wa Urais wa shirikisho lao la mpira wa nchini mwao ( FECAFOOT) inatarajiwa kufanyika mwezi December 2021.

Chanzo: millardayo.com