Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saba wafariki kwa ajali ya Daladala, mmoja mahututi

Ajali Daladala Saba wafariki kwa ajali ya Daladala, mmoja mahututi

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu saba wamefariki hii leo Jumanne asubuhi, baada ya dasi la umma (matatu) kugongana na trela la Lori eneo la Ngata, Kaunti ya Nakuru Nchini Kenya.

Mkuu wa Polisi wa Nakuru, Samuel Ndanyi amesema matatu hiyo iliyokuwa ikielekea Eldoret iligongana na Lori hilo, lililokuwa limepoteza mwelekeo.

Amesema, katika ajali hiyo mtu mmoja alijeruhiwa na alikimbizwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Nakuru kwa ajili ya matibabu, akiwa katika hali mbaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live