Rais wa Kenya William Rutto, amemshutumu mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama uliopelekea ahitaji muda kurekebisha, huku akianzisha mipango ya kumalizia Mabwawa na Miradi mingine ambayo ilisitishwa kwa sababu za Kisiasa.
Rais wa Kenya William Rutto, amemshutumu mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama uliopelekea ahitaji muda kurekebisha, huku akianzisha mipango ya kumalizia Mabwawa na Miradi mingine ambayo ilisitishwa kwa sababu za Kisiasa. Amesema, “Wapinzani wetu waliiharibu Nchi hii na sasa watupe nafasi ya kurekebisha fujo zao. Walikuwa na Miaka Mitano ambayo walitumia kuharibu kila kitu Nchini: Walituacha na Uchumi duni, Nchi iliyojaa Madeni, Usalama uliodorora, Jeshi la Polisi kuwaua Watu badala ya kuwalinda.”