Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruto kafika bungeni kuhudhuria hotuba ya mwisho ya Rais Kenyatta

0fgjhs4bs03bsctot Ruto kafika bungeni kuhudhuria hotuba ya mwisho ya Rais Kenyatta

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Rais William Ruto amefika katika majengo ya bunge tayari kuhudhuria mkutano wa Rais Uhuru Kenyatta ambapo anatarajiwa kuhutubia taifa.

Ruto ambaye amekuwa akisusia baadhi ya mikutano ya kitaifa alikaribishwa na maafisa wa kijeshi na maspika wa mabunge mawili majira ya saa nane na thelathini na tisa.

Rais anatarajiwa kuhutubia bunge la kitaifa pamoja na la seneta na pia kuangazia mafanikio yake kwa kipindi cha miaka 8 ambayo amekuwa madarakani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live