Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruto akubali kutinga mahakamani

Odinga Ruto 22 Ruto na Odinga

Fri, 19 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya Rais Mteule William Ruto Ameongea na waandishi wa habari na kusema watashiriki katika wito wowote utakaotolewa na Mahakama juu ya matokeo ya uchaguzi.

Mpinzani wa Rais huyo mteule ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe wa Kenya Raila Odinga alipinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo.

Katika kufuata demokrasia Odinga alisema atafungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu huo uliofanyika Agosti 9.

Ruto amezungumza na waandishi wa habari baada ya kukutana na viongozi waliochaguliwa kutoka muungano wake wa kisiasa. Ruto amesema matarajio ya Wakenya ni makubwa na anaendelea na juhudi za kuunda serikali yake, ambayo haitamtamfungia nje yeyote kwa misingi ya chama au kabila.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: