Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruto aanzisha uchunguzi kwa Kenyatta na washirika wake wakidaiwa kukwepa kodi

Uhuru Kenyatta Bilionaire Uhuru Kenyatta

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Rais William Ruto wa Kenya inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na familia ya Rais msitafu wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita.

Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a Mwaura wamesema tayari wameanza ukagauzi wa kampuni ambazo zimekuwa zikipewa Misamaha ya Kodi kinyume cha Sheria.

Mama wa Kenyatta, Mama Ngina ameonesha kukerwa na kitendo cha familia yake kuhusishwa na Ukwepaji Kodi huku akitoa Onyo kwa Serikali isijaribu kuuza mali zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live