Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruto aahidi kuwafukuza wachina wote

Ruto Wachina Kenya Ruto aahidi kuwafukuza wachina wote

Thu, 23 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mgombea wa Urais nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9 mwaka huu.

Mgombea wa Urais nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9 mwaka huu. Ruto amesema kuwa kuna Wachina wanaouza mahindi ya kuchoma na simu mtaani nchini humo biashara ambazo wazawa wanaweza kuzifanya kikamilifu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live