Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruto: Puuzeni siasa za chuki, ukabila

Ruto Amteua Aliyekuwa Waziri Wa Nishati Charles Keter Kuwa Mshauri Wake Ruto: Puuzeni siasa za chuki, ukabila

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: dar24

Rais wa Kenya, William Ruto amewataka Wananchi hasa Viongozi wa kisiasa kuacha tabia ya kueneza siasa za ukabila kwa manufaa yao binafsi na badala yake wahubiri amani kwa jamii.

Ruto amesema siasa za ukabila na ubabe hazina nafasi Katika taifa hilo na kusisitiza uhimu wa Wananchi kuungana kwa manufaa ya taifa, ili kujiletea maendeleo.

Wakati hayo yakijiri, Wakazi wa Hindi kaunti ya Lamu wameapa kuifunga barabara kuu Lamu-Witu-Garsen, ili kuzuia malori ya mizigo yanayotoka bandari ya Lamu kuelekea Ethiopia.

Wakazi hao wamesema hatua yao hiyo ni kuonesha ghadhabu zao baada ya kukosa ajira bandarini wakidai ajira zinatolewa kwa watu wasiokuwa wakaazi wa Lamu.

Chanzo: dar24