Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruto: Mimi sio mtalii

Kenya: Ruto Afanya Mabadiliko Katika Baraza La Mawaziri Rais William Ruto

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati baadhi ya wakenya wakimkosoa Rais William Ruto kwa safari zake za nje ya nchi zisizoisha, Jumapili hii aliibukia huko eneo la Kiambu na kujibu shutuma hizo.

Kwa mujibu wa mtandao wa Tuko, Rais Ruto amesema safari zake za nje hazitaisha hivi karibuni, na kuongeza kuwa safari hizo zinalenga kuifanya Kenya kuwa mahali pazuri zaidi pa kuishi.

“Mmesikia mimi nasafiri dunia nafanya kwa mipango, Mimi si Mtalii," alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live