Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rubani aliefanya kazi miaka 20, atumbuliwa kwa vyeti feki

Saa Tlali Tlali Pilot William Chandler

Thu, 6 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 2019 Mamlaka ya Anga ya Afrika Kusini (SAA) ilimuachisha kazi Rubani mmoja baada ya kumshtukia ana vyeti feki.

Rubani huyo Anaitwa William Chandler, kabla ya kutumbuliwa alikuwa "Senior pilot" aliyepaisha ndege za South African Airways kwa zaidi ya miaka 20.

Baada ya Kutumbuliwa kwake watu wengi walishauri kwanini Serikali isingemsaidia kupata Vyeti Maana ni Rubani Mzuri tena Mwenye Uzoefu Mkubwa.

Utetezi wa watu haukubadili matokeo, Mpaka sasa hajarudishwa kazini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live