Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramaphosa : Magufuli alikuwa shujaa  

6aece619cd9ab0770a5b3d95249c84b9.jpeg Ramaphosa : Magufuli alikuwa shujaa  

Mon, 22 Mar 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Katika hotuba yake Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema Hayati Dk John Magufuli alisimama kama shujaa dhidi ya rushwa na ubadhirifu.

Alimuelezea Dk Magufuli kama kiongozi aliyepinga vitendo hivyo akiamini viongozi wanapaswa kutumikia wananchi wao

Amemshukuru Dk Magufuli kwa kuelekeza nguvu katika maendeleo ya kiuchumi wa Taifa la Tanzania, Ukanda na Bara la Afrika kwa ujumla

Vilevile, Rais Ramaphosa amemshukuru Hayati Dk Magufuli kwa kuwa Mwana wa Afrika aliyeona umuhimu wa tamaduni kukumbukwa na kufundishwa, akisema alikuwa Kiongozi aliyetaka watu kujivunia Lugha za Kiafrika

Amesema Tanzania ilipata bahati kuwa na Kiongozi kama Hayati Dk John Magufuli.

Chanzo: www.habarileo.co.tz