Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Nigeria adondoka akipanda gari (+Video)

Tinubuuuuuuuuuuu Rais wa Nigeria adondoka akipanda gari

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Video inayomuonesha Rais wa Nigeria Bola Tinubu akianguka wakati akipanda kwenye Gari kwa ajili ya kukagua Paredi imesambaa kwenye mitandao ya kijamii hii leo huku Wanigeria wengi wakiwalaumu Walinzi wa Rais Tinubu kwa tukio hilo kwani wanafahamu fika kuwa hali ya kiafya ya Rais huyo siyo nzuri tangu aingie Madarakani.

Tazama Video hapa Chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live