Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Marekani kufanya mkutano na Kenyatta White House

E8bc6730a70b03d1 Raiswa wa Marekani kufanya mkutano na Kenyatta White House

Wed, 13 Oct 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kukutana na Rais Uhuru Kenyatta katika ikulu ya White House kujadili masuala kadhaa kati ya nchi hizi mbili, Kenya na Marekani

Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Biden kukutana na kiongozi wa taifa kutoka Barani Afrika tangu alipoingia madarakani.

Vigogo hao pia wanatarajiwa kujadiliana masuala kadhaa ya kidemokrasia na haki za kbIinadamu, kuboresha usalama na kukuza uchumi wa nchi.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke