Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Ethiopia awasili nchini

1621731bb93fbb1647bab3797ee9196d Rais wa Ethiopia awasili nchini

Tue, 26 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

Rais wa Ethiopia, Salhe-Work Zewde amewasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake rais Dk John Magufuli.

Rais wa Ethiopia, Salhe-Work Zewde amewasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake rais Dk John Magufuli. Rais Zedwe na mwenyeji wake wanatarajiwa kufanya mazungumzo yenye lengo la kubadilishana mawazo ya kikanda yenye maslahi mapana baina ya nchi hizi mbili.

Chanzo: habarileo.co.tz