Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Uhuru kutua Kisumu Jumapili, Kanze Dena Asema

D946d31f5ee15537 Rais Uhuru kutua Kisumu Jumapili, Kanze Dena Asema

Sat, 29 May 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Rais Uhuru Kenyatta na Mama Margret Kenyatta watasafiri Kisumu Jumapili Mei 30 kujiandaa kwa sherehe za Madaraka Dei.

Rais atatumia muda huo kufungua miradi ya maendeleo katika eneo hilo ambapo ni ngome ya rafikiye wa handiseki Raila Odinga.

"Mhesimiwa Rais Uhuru Kenyatta na Mama wa Taifa Margaret Kenyatta watawasili Kisumu Jumapili Mei 30 kwa ziara ya siku tatu katika eneo la Nyanza," Kanze alisema.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke