Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Uhuru aapa kumpa funzo la kisiasa DP Ruto

0a87e52be4b06b2b Rais Uhuru aapa kumpa funzo la kisiasa DP Ruto

Sat, 5 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa mgombea Urais Raila Odinga ndiye chaguo lake na kuwataka wananchi kupuuza kampeni za DP Ruto ambazo alidai hazina mashiko.

Kenyatta ametoa kauli hiyo siku ya jana Februali o4, 2022 wakati wa mkutano na wabunge wa chama cha Jubilee na kuongeza kusema kuwa licha ya DP Ruto kutangulia kufanya kampeni kabla ya Raila atahakikisha mambo yanabadilika.

Akiongea na wabunge wa Jubilee, Rais alisema amekuwa kimya kwa sababu amekuwa akichapa kazi na kuwa sasa wakati umefika wa yeye kuingia mzima mzima kwenye kampeni hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live