Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Uhuru Kenyatta azindua rasmi mashindano ya kimataifa ya mbio za magari

A54d27e2673805a9 Rais Uhuru Kenyatta azindua rasmi mashindano ya kimataifa ya mbio za magari

Fri, 25 Jun 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Rais Uhuru Kenyatta mapema siku ya Alhamisi, Juni 24, 2021 alizindua rasmi Mashindano ya Kimataifa ya mbio za magari (WRC) katika ukumbi wa KICC mjini Nairobi .

Hii imekuwa ni baada ya miaka 19 tangu Kenya iliposhiriki mashindano hayo mwaka wa 2002.

Waandalizi wa mashindano hayo wanasema zaidi ya watu, 10,000 wanatarajiwa kuhudhuria na madereva 58 kote ulimwenguni wanashiriki.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Jumaa Juni 26 katika lango la chuo cha mafunzo ya KWS mjini Naivasha kwenye barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 073248269.

Tazama Video Kemkem za Kusisimua Kutoka TUKO

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke