Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia awasili nchini Zambia

ZIMBABWE12 Rais Samia Suluhu Hassan akiwa anasalimia na viongozi nchini Zambia

Tue, 24 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia, tayari amwesili nchini Zambia kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Hakainde Hichilema.

Rais Samia, amepokelewa na Viongozi mbalimbali wa serikali nchini humo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Keneth Kaunda,tayari kwa kuhudhuria shughuli ya uapishwaji.

Mapema hii leo Rais Samia aliondoka nchini na kuagana na baadhi ya viogozi wa Serikali katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ni miongoini mwa viongozi watakao hudhuria shughuli hiyo ya kuapishwa kwa Rais Mteule nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live