Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Ruto atangaza watu kuingia bila VISA Kenya 2024

Ruto: Mabadiliko Ya Hali Ya Anga Yanazamisha Nchi Za Afrika Katika Madeni Rais Ruto atangaza watu kuingia bila VISA Kenya 2024

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuanzia January 2024 Kenya itakuwa ni Nchi ambayo Mtu kutoka Nchi yoyote duniani hatohitaji tena VISA kuingia nchini humo.

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuanzia January 2024 Kenya itakuwa ni Nchi ambayo Mtu kutoka Nchi yoyote duniani hatohitaji tena VISA kuingia nchini humo. Akiongea leo December 12,2023 kwenye maadhimidho ya siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Ruto amesema haitokuwa lazima kwa Mtu yoyote kutoka kona yoyote ya Dunia kuwa na mzigo wa kupambania mchakato wa kupata visa ili kuingia Kenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live