Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Ruto afanya maombi Yerusalem

Yerusalemu Ruto Rais Ruto afanya maombi Yerusalem

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais William Ruto wa Kenya amesali kwenye eneo Takatifu la hekalu la Mfalme Solomon lililopo Yerusalem nchini Israel.

Rais William Ruto wa Kenya amesali kwenye eneo Takatifu la hekalu la Mfalme Solomon lililopo Yerusalem nchini Israel. Waumini wakimaliza kumuomba Mungu katika eneo hilo huwa wanaandika maombi yao kwenye karatasi na kuyachomeka kwenye nyufa za ukuta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live