Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Ouattara amsamehe Rais Gbagbo

Ouattara Vs Gbagbo .jpeg Rais Ouattara amsamehe Rais Gbagbo

Sun, 7 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Alassane Ouattara ametia saini amri ya kutoa Msamaha kwa mtangulizi wake, Laurent Gbagbo, aliyehukumiwa kifungo cha Miaka 20 jela mwaka 2018 kwa kukutwa na hatia ya kuhusika machafuko ya kisiasa nchini humo.

Rais Alassane Ouattara ametia saini amri ya kutoa Msamaha kwa mtangulizi wake, Laurent Gbagbo, aliyehukumiwa kifungo cha Miaka 20 jela mwaka 2018 kwa kukutwa na hatia ya kuhusika machafuko ya kisiasa nchini humo. Vile vile ametia saini amri ya kuachiliwa kwa masharti Washirika wa Gbagbo, akiwemo Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wanamaji, Vagba Faussignaux na Kamanda wa Zamani wa kitengo muhimu cha kijeshi, Jean-Noel Abehi, waliotiwa hatiani kwa kuhusika katika machafuko ya baada ya uchaguzi wa Mwaka 2017.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live