Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Museveni atishia kuwakamata wanaoeneza uvumi kwamba ameaga dunia

E23cebdf74cf0055 Rais Museveni atishia kuwakamata wanaoeneza uvumi kwamba ameaga dunia

Fri, 9 Jul 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Raia wa Uganda Yoweri Museveni ameghadhabishwa na uvumi ambao unaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amefariki dunia.

MuseveniHabari Nyingine: Bye Bye! Pigo kwa Jubilee Huku Jembe lake Eneo la Pwani Likivunjika Mpini

Rais huyo amesema kwamba watu wa aina hiyo ambao hawana utu wanapaswa kukamatwa na kukabiliwa vilivyo kisheria.

" Tunafaa kuwafuatilia sana watu wanaoeneza uvumi mitandaoni kwamba nimefariki dunia, hasa wale raia wa Uganda wanaoishi Marekani. Wengi wanatumia jina langu kueneza porojo kwenye mitandao ya kijamii, ningependa maafisa wa usalama kuchunguza jambo hili," Alisema Museveni.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama Video Kemkem za Kusisimua Kutoka hapa TUKO.co.ke

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke