Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Lungu Apigwa Chini Zambia, Upinzani Washinda

Zambia 1?fit=640%2C360&ssl=1 Rais Lungu Apigwa Chini Zambia, Upinzani Washinda

Mon, 16 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mgombea wa chama cha upinzani UPND cha nchini Zambia, Hakainde Hichilema ameibuka mshindi wa urais kwa kupata kura milioni 2,810,757 dhidi ya Edgar Lungu aliyekuwa anatetea nafasi ya urais kwa kupata kura milioni 1,814,201. Hakainde aligombea nafasi hiyo mara tano bila mafanikio.

Mgombea wa chama cha upinzani UPND cha nchini Zambia, Hakainde Hichilema ameibuka mshindi wa urais kwa kupata kura milioni 2,810,757 dhidi ya Edgar Lungu aliyekuwa anatetea nafasi ya urais kwa kupata kura milioni 1,814,201. Hakainde aligombea nafasi hiyo mara tano bila mafanikio. Rais Lungu au mgombea mwingine anaweza kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo siku saba tangu matokeo kutangazwa.

Chanzo: globalpublishers.co.tz